ila nitashindwa kwa vile kitu kikubwa zaidi ni kwamba sina unga ....mwisho nimebaki kumezea mate tu..hasa huyo samaki wewe acha tu...picha toka http://barakachibiriti.blogspot.se.
Nawatakieni kila la kheri au sijui jioni,mchana, asubuhi au usiku mwema.
Hii picha ya thamaki ni pouwa thana kwa mutani wangu Kitururu.
ReplyDeleteKaka Ray unaweza kufafanua kwanini ni kwa mutani wako Kitururu?
ReplyDeleteWatani zangu wapare wana uwezo wa kula ugali kwa picha ya samaki.
ReplyDeleteoh! kumbe hili ni jipya kwangu..basi tusibiri tuone atasema nini kama atatokea....
ReplyDeletekumbe ulikuwa hujui maana hawa jamaa wa upareni ndivyo walivyo maana ni bahiri kupitiliza kuna mmoja hapa kazini bandari yeye ikifika saa ya kula anaenda kantini anaangalia vyakula vyote halafu anakunywa maji tu anaondoka anasema kaisha shiba.....mhhh
ReplyDeleteUsiye na jina! Hakika sikujua kumbe ndivyo walivyo kaaaazi kwelikweli..Kisa na mkasa nini?
ReplyDelete