Friday, October 5, 2012

NIMEONA TUBAKI SONGEA YETU NA NGOMA HII YA LIZOMBE KWANI NI SIKU NYINGI HATUJAISIKIA..UNGANA NAMI!!


HII HAPA NI KAZI YA MIKONO YANGU/NIMETENGENEZA MWENYEWE:-) Hakika ngoma za asili ni tamu...haya twende pamoja....

AU HALAFU TUENDELEE  KUSIKILIZA NA HAPA ....TUSELEBUKE..

Tuserebuke aaeeeX3  Maraha maraha kamla..ninapotaka mimi ni hapo tuX3 ninapochoka mimi ni hapo tu maraha maraha kamlaX3 duh naona nachelewa kucheza hapa endeleeni kuimba ....
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE IJUMAA NA PIA MUWA NA MWISHO WA JUMA NJEMA/MWEMA SANA..

12 comments:

  1. Hapo ni mtu kwao ni kwao japo hayupo kwao hakosi kukumbuka kwao japo kwao siyo kwao tena!!

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray kwangu/kwo ni kwao hata utembee kwokwote kule iko siku moja utarudi tu kwako..kumbuka msau kwao ni mtumwa...

    ReplyDelete
  3. VYA KWETU TUVIKUMBATIE, VYA KWAO TUWAACHIE WENYEWE WAHANGAIKE NAVYOOOO

    ReplyDelete
  4. DADA MDOGO ESTER! NIMEPENDA MNO MNO ULIVYONENA..HONGERA SANA YAANI KAMA YLUKUWA MOYONI MWANGU..SAFIIIIIIIIIII SANAAA:-) IJUMAA NJEMA SANA.

    ReplyDelete
  5. swali la kizushi. hivi mnavyoimbaga "ninapotaka mimi ni hapo tuu ..." mbona huwa 'hapo' hampafafanui?

    ReplyDelete
  6. kaka John "hapo" ina maana ni hivyo tu. kama ulivyo, hivyo hivyo...nielewavyo mimi.

    ReplyDelete
  7. Mtu kwao da'Kadala, Asante kwa burudani mwanana...Yaani nipo hoi hapa kwa kusereeebukaaa,Wiki ijayo tunasubiri Chioda/kioda sijui kama nimepati, tongwa lisikosekane!!

    Pamoja sana.

    Wenu Kachiki mtoto mzuriiii

    ReplyDelete
  8. Da Yacinta usisahau Mganda na Lipenenga ndugu yangu. Pia usisahau hata mbaqanga maana ni dugu moja.

    ReplyDelete
  9. john mwaipopo hata mimi nilitakakuuliza mbona wanapataka hapoo tu!ni papi hapo?wapataje basi maana kanganganiatuuuu hapo wapi na ndio maana jamaa hampi maana hajapataja hapo!?uwe na wikiend njema mdada Yasinta ninakupenda kwa kupenda vya kwetu

    ReplyDelete
  10. halafu salamu zangu ulizifikisha kwa MARLEANE?

    ReplyDelete
  11. Kachiki! Kwa ninvyokujua kweli upo nyangányangá..na wala usikonde chioda/kioda utapata tu...
    Mwl. Mhango..nawe usikonde mganda utaupata ila hapa nina swali kama kawa kapulya:-mbaqanga ni ngoma gani?

    batamwa! Ahsante kwa yote ..si unajua mtu kwao ndugu wangu..Salamu kwa Maelrne zilifika na alifurahi kweli..Kumbe ulikuwa wewe? Lakini kama nilivyosema umechelewa kiduchu....

    ReplyDelete
  12. Post ya zamani ila nimeenjoy mziki hahhaha

    ReplyDelete