Wednesday, October 3, 2012

NGOJA TURUDI MJINI SONGEA /NIMETAMANI NYUMBANI LEO!!

Waliofika mji wa Songea nadhani hawakosa kupita barabara hii . Je? ni sehemu gani hapa?
 
 

7 comments:

  1. Sikiliza, ewe binti, uone, na utege sikio lako;

    Na uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako._Zaburi 45:10

    ReplyDelete
  2. Hii itakuwa ni ile sehemu ya barabara inayotoka bomani kuelekea stendi kuu. Nahisi ni karibu na maktaba ya mkoa.

    Nimetaja maktaba kwa sababu wa-Tanzania huwa wamezoea zaidi kusikia majina ya baa. Ukitaja baa, wanajua unaongelea sehemu gani, lakini ukitaja maktaba, wanatoka kapa. Nami nimeona niwatoe kapa leo. Teh! teh! teh! teh!

    ReplyDelete
  3. Hii itakuwa ni ile sehemu ya barabara inayotoka bomani kuelekea stendi kuu. Nahisi ni karibu na maktaba ya mkoa.

    Nimetaja maktaba kwa sababu wa-Tanzania huwa wamezoea zaidi kusikia majina ya baa. Ukitaja baa, wanajua unaongelea sehemu gani, lakini ukitaja maktaba, wanatoka kapa. Nami nimeona niwatoe kapa leo. Teh! teh! teh! teh!

    ReplyDelete
  4. ni kweli. hapa ni karibu na ofisi za mkoani (administration)...barabarta iendayo stendi

    ReplyDelete
  5. Kaka Ray! Ahsante kwa neno.
    Joseph/prof. Mbele ni kweli kabisa umepatia ndio penyewe..hakika nyumbani ni nyumbani.
    Na usiye na jina nawe umepatia haswa inaonekana na wewe ni wa kunyumba:-)

    ReplyDelete
  6. ujanja wote huu eti sijafika songea!

    ReplyDelete
  7. hahaaaa kaka john basi dada mkuu anakukaribisha sana nitakutafuta niwapo hapa.

    ReplyDelete