NAPENDA KUWATAKIA WOTE JUMAPILI NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA!!!
Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Mwanzo 3:16
JUMAPILI/DOMINIKA IWE YENYE UPENDO.
Asante dada nawe pia j2 njema
ReplyDeleteDada mdogo Ester ahsante sana..
ReplyDeleteJ2 njema kwa wote!
ReplyDeleteJ2 na j3 njema
ReplyDeleteUsiye na jina! ahsante kwa kweli j2 yangu ilikuwa njema na yenye utulivu..Namshukuru Mungu.
ReplyDeleteemu3!nawe naamini ulikuwa na jumapili njema kwani mie ilikuwa njema.pia jumatatu nimeianza vema.