Friday, October 12, 2012

KUMSHUKURU/KUSALI KABLA NA BAADA YA CHAKULA...!!!

JE? Wewe msomaji una tabia ya kufanya hivi kabla ya kula na baada ya kula? au unafikiri hawa wanafanya nini hapa?

6 comments:

  1. kwanza nimefurahi hicho chakula kilicho mezani, kinaonyesha kuwa chochote kiendacho mdomoni shurti kiombewe

    pia nina ka experience wengi wetu wakati wa kuanza kula twasali, kikiisha tunasahau kushukuru

    ReplyDelete
  2. Ester! si uwongo ni kweli chochote kiendacho mdomoni na kilicho mezani ni vema kukiombea. Ni kweli wengi tunasali wakati wa kuanza tu tukishashiba basi twasahau kushukuru...Basi tukumbushana au kama tuliaacha tuanze

    ReplyDelete
  3. INABIDI TUANZE KWAKWELI, HADI AIBU KIMOYO MOYO

    ReplyDelete
  4. Kwa uleli inabidi kumshukuru Mungu kwa lolote lile. Aibu ni nzuri maana ukiona aibu utajirekebisha na mambo yatakuwa safi...

    ReplyDelete
  5. ngoja niwaulize nyie wadada. Hivi hata bia au ulanzi kabla hujaanza kunywa unatakiwa usali kwanza?

    ReplyDelete
  6. Kaka John! kila kitu unachoingiza mdomoni/chakula ni lazima ushukuru hata maji...

    ReplyDelete