Wednesday, September 26, 2012

WAREMBO WA WIKI:- HIVI HAPA NI SARESARE AU??!!!


Jinsi bendera ya Tanzania inavyoveza kutukuzwa. Nimependa hii
Na hapa pia ..nimelipenda gauni hili kwanza ndefu, mtindo mzuri na linavutia. Swali wapi nitalipata kwani nimevutiwa sana nayo...

8 comments:

  1. kwakweli hata mimi nimeyapenda sana tuuuu......utayapata tu dada
    mafundi wengi tuu

    ReplyDelete
  2. Dada Ester! Yaani hapo kwanza kabisa wanaitangaza bendera ya Taifa halafu yamewapendeza na mitindo ni bomba..hakika ntajitahidi kushona ..

    ReplyDelete
  3. Kaka Chacha! kwa nini mmemchagua dada mkuu msaidizi Mija?

    ReplyDelete
  4. Hata mimi nimeyapenda,Dada mkuu msaidizi Mija ni Fundi@ ulikuwa hujajua dada Mkuu Kadala?

    ReplyDelete
  5. Dada zetu mngekuwa tayari kuvaa kwa mtindo huu, nawahakikishieni Mungu angelibariki Taifa hili kwa baraka zote za rohoni na za mwilini. AMANI KWENU.

    ReplyDelete
  6. @Yasinta..Laiti ungewasikiliza Mzee Chacha na Rachel, ungekula mbivu hizi...

    ReplyDelete
  7. Dada mkuu msaidizi basi nitafanya hivyo ...

    ReplyDelete