Wednesday, September 26, 2012

UWANJA WA MPIRA MAJIMAJI SONGEA KWA NJE UPANDE WA KULIA KARIBU NA JENGO LA POLISI...!!!

Nimeona tutembelee Songea mjini leo kwani siku nyingi  zimepita. Kila la kheri....

4 comments:

  1. TUPO PAMOJA NDUGU WANGU, MAMBO BADO SI MAMBO, LKN TUPO PAMOJA

    ReplyDelete
  2. em-three! naamini tupo pamoja na pia nakutakia hayo mambomambo yawe mambo,PAMOJA DAIMA...

    ReplyDelete
  3. Umeshakumbuka Nyumbani Kadalaaaaaaa!!

    ReplyDelete
  4. Mmmh, hii ilikuwa lini. Inawezekana ni siku nyingine sana. Maana nimepita jana hapo ni timbwili timbwili kwa kwenda mbele. Nashangaa hakuna hata watu, sijui ilikuwaje!!

    ReplyDelete