Sehemu fulani Jamaica
Je unamjua huyu?
Nimezipenda hizi picha na nimeona ziwe picha za wiki hii. Rangi za mavazi ni rangi ambazo nazipendaaaaaaaa sana. Hakika ukijipenda mwenyewe basi na wengine watakupenda!!Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Aisee! Nahisi mmojawapo namfahamu. Da Yasinta wewe!
ReplyDeleteMtani Fadhy! Mbona hujasema huyo mmojawapo unayemfahamu ni nani?
ReplyDelete@Yasiii!!!
ReplyDeleteHakika picha hizi zinastahili kuwa picha za wiki hii.Rangi za mavazi ni rangi zake zinapendeza sana. Hakika ukijua raha ya kujipenda mwenyewe basi na wengine watakupenda,kukustahi na kuheshimu maadili,mitazamo,misimamo na matarajio yako ya sasa na baadae.
SALAMU!!
tupo pamoja, nipo mapumziko kidogo
ReplyDelete