Friday, September 14, 2012

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE IJUMAA NA MWISHO WA WIKI UWE MWEMA..NA BURUDANI YA MGANDA


BURUDANI YA LEO NI MGANDA...KILA LA KHERI

2 comments:

  1. @Yasinta;
    Ngoma hii naimependa sana.vijana wanasema hii ni ngoma iliyoenda shule.Ngoma ndani ya ngoma inayomfanya jasiri asisahau asili yake akaonekana hana akili.
    Asante kwa salamu na iwe wikiendi njema kwa wadau wote wa kibaraza hiki maridhawa.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray..halafu unajua pia ngoma hii inachezwa kwa umaridadi kweli mpaka raha:

    ReplyDelete