TUANZE JUMATATU HII NA PICHA HII YA WAREMBO WA KINGONI!!!
Picha:- Ni ya wanawake wa KINGONI (mzimba) hapa ni mapema miaka ya 1900.... Nimeipenda picha hii maana inaonyesha jinsi wanawake hawa wanavyojali urembo wa asili ebu watazame...inavutia kwa kweli. JUMATATU NJEMA...
Picha nzuri sana. Warembo hao ni kiboko. Huo ndiyo urembo unaotakiwa. Tuachane na wa siku hizi ambao ni wa kuchakachua ... Asante sana kwa taswira hiyo.
EMU3!Yangagawanywa kihivyo tungesema mengi ila basi tu... Kaka Simbadeo!! umenifanya nitabasamu kuchakachua ..halafu sasa si akina dada tu hata akina kaka siku hizi...kaaaazi kwelikweli
kaka Ray! Umenena ila bahati mbaya kila kitu siku hizi ni biashara..pia bahati mbaya kwetu kama tungefuata vya asili haingekuwa hivi.. Ester!!Nitakuunga mkono ili usiwe peke yako:-) Kachiki ! kumbe ulifikiri tumeanza juzi tu hapana akina bibi walianza nasi twaendeleza:-) Safi eeehh!!
Natamani siku moja nivae hivyoooo
ReplyDeleteEster! ni kuamua tu, halafu nshakuona katika mavazi hayo kikuwaza unapendeza kweli....
ReplyDeleteSafi saaaana hii...
ReplyDeleteKila zama na waja wake.
ReplyDeleteDada mkuu saidizi/Mija! Yaani saaaafi mno nimeipenda sana.
ReplyDeleteKaka wangu Ray! Umenena!
Nawaza kama haya mashindano ya urembo yangeligawanywa,;
ReplyDeleteMfanoo wanasema Mrembo wa asili ni....
Halafu mrembo wa kuchakachua ni.
Kitu kama hicho, huyo mrembo wa asili wasijali maumbile, hata akiwa bonge bonge sio mbaya, su vipi!
Picha nzuri sana. Warembo hao ni kiboko. Huo ndiyo urembo unaotakiwa. Tuachane na wa siku hizi ambao ni wa kuchakachua ... Asante sana kwa taswira hiyo.
ReplyDeleteMmmh kweli
DeleteHapa udhamini wa kibiashara ndiyo unatawala mioyoni mwa watu na siyo uasilia wa jambo husika.
ReplyDeleteSoon nitayatinga....kweli ukiamua kitu unazuka tu
ReplyDeleteNdugu wa mimi Emu wa 3!naungana nawe kabisaaaaaa.
ReplyDeleteda'Kadala kumbe wangoni Urembo mmeanza kitambo tuu!!!
EMU3!Yangagawanywa kihivyo tungesema mengi ila basi tu...
ReplyDeleteKaka Simbadeo!! umenifanya nitabasamu kuchakachua ..halafu sasa si akina dada tu hata akina kaka siku hizi...kaaaazi kwelikweli
kaka Ray! Umenena ila bahati mbaya kila kitu siku hizi ni biashara..pia bahati mbaya kwetu kama tungefuata vya asili haingekuwa hivi..
Ester!!Nitakuunga mkono ili usiwe peke yako:-)
Kachiki ! kumbe ulifikiri tumeanza juzi tu hapana akina bibi walianza nasi twaendeleza:-) Safi eeehh!!