Hakuna kiti nikipendacho kma hizi bangili ....Ebu angalia kwanza rangi zake zilivyokaa kaa ...Hivi ni waMasai tu ndio wanaoweza kutengeneza vitu hivi. Hakika kama ni wao tu nawapa hongera sana kwa kudumisha utamaduni hii mwanana. Ipo kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutupa mikono pia ubunifu. Bado nasikitika bangili yanmgu ilikataka :-) Je wewe pia ni mdhaifu vya vitu kama hivi vya asili?
Duka la wapi hili Yasinta?
ReplyDeleteYasinta;
ReplyDeleteUdhaifu ni wako mwenyewe na sisi wenzako ni wapenzi tu wa mambo ya tamaduni zetu!
Mija nawe mimi sijui ni duka gani nimepata picha hii mndaoni nikatamani.
ReplyDeleteUpo sawa kaka Ray.. na labda nimekosea kiswahili ila nilikuwa naamaanisha ni mpenzi sana wa utamaduni tamaduni.
@Yasinta;
ReplyDeleteKiswahili cha kindendeule kinaeleweka na shaka moyoni ondoa!
ZINAVUTIA SANA HIZO BANGILI FULL CALTURE
ReplyDeletenapenda culture tena mno mnoooooo
ReplyDelete