Friday, June 8, 2012

PIGA MOYO KONDE SIKU YAKO INAFUATA/ USICHOKE USIMAME!!!


Mziki/wimbo kila wakati una ujumbe wake maalumu. Kama wimbo huu una ujumbe wake ambao wengi wanaweza kujifunza kitu.
NAWATAKIENI WOTE IJUMMA NA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA....!!!!

2 comments:

  1. Muziki una mchango mkubwa kijamii.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray! Yaani si uwongo unaposikiliza muziki sio unasikiliza za huwa una ujumbe, mafunzo mengi mengi tu..

    ReplyDelete