PICHA YA WIKI : - NIMEIPENDA SANA PICHA HII NA NIMEONA IWE WAREMBO WA WIKI!!!JE? UNAJUA NI NANI KATI YA HAWA WAWILI!!!? NALITAKA VAZI HILI
Picha hii nimeipenda sana yaani sana. Kiasi kwamba nimeona iwe picha ya wiki. Kama kichwa cha habari kinavyosema je Unamfahamu mmoja wa wadada hawa warembo?
Ester usichelewe sana utakuja uhondo umekwisha. Usiye na jina :-) Kachiki nawe kutaka thawadi tu..haya thawadi yako ni kula chakula cha JIONI NA Kadala..:-)
Mija hapo vishavu dodo dada yangu,kumbe ukiwa bongo mambo si mabaya.vazi zuri na wamependeza,mama sawe mke wa merinyo naye wamo hajambo anaonekana bado sana ,matunzo mazuri,kula vizuri.bisikuti yangu za siku upo!?,pole wamekunyima zawadi yako,wapige wote hao mabusha ya midomo! tuone kama wataweza kua? kaka s
ni warembo hasa, tena wa kiafrica, ila sasa kujua ni akina nani, huo ni mtihani, ngoja network iendelee kusearch...nitarudi tena
ReplyDeletehuyu mmoja ni mbunifu wa mavazi anaitwa Ailinda Sawe mama wa afrika sana
ReplyDeleteNi dadake Mija mwana wa sayi[mwanamke wa shoka] na Ailinda sawe!!! Nipe thawadi yanguuuuuuuuu
ReplyDeleteYaani nikisema dadake si dadake mija yaani dada Mija!!!
ReplyDeleteEster usichelewe sana utakuja uhondo umekwisha.
ReplyDeleteUsiye na jina :-)
Kachiki nawe kutaka thawadi tu..haya thawadi yako ni kula chakula cha JIONI NA Kadala..:-)
Haya Kachiki umemnyima dhawadi akija Kadoda utamnyima pia?
ReplyDeleteMie siwafahamu kwa kweli japo wametokezeyaaaa!
Umeona ehhh kaka Wambura anampendelea kila siku Kadoda!!
ReplyDeleteNgoja nikaazime Ungo kwa kadoda wangu leo haufanyi kazi ilinije kula@Kadala!!
Wenu kachiki!
Nimepitia tu hapa kuwajulia wadau wa kibarazani hali na sina madokezo yoyote.Salamu!!
ReplyDeleteMija hapo vishavu dodo dada yangu,kumbe ukiwa bongo mambo si mabaya.vazi zuri na wamependeza,mama sawe mke wa merinyo naye wamo hajambo anaonekana bado sana ,matunzo mazuri,kula vizuri.bisikuti yangu za siku upo!?,pole wamekunyima zawadi yako,wapige wote hao mabusha ya midomo! tuone kama wataweza kua? kaka s
ReplyDeleteNipo bisikuti yangu mbona ulipotea sana kwema huko?salimia Wifi wa mimi na woote!!!!mwenzangu thawadi nimenyimwa!!
ReplyDeleteRachel/Kachiki, jamani mbona nimesema thawadi yako ni kwamba itakuwa chakula cha jioni na Kadala... au unataka nyingine?
ReplyDelete