Sunday, May 20, 2012

JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA KWA WOTE

Kama udongo ulivyo katika mkono wa mfinyanzi, 
ndivyo mlivyo katika mkono wangu Yer 18:6.
Ujuzi hauzeeki:- Mafundi hao hutudhihirishia kwa ubora na unadhifu wa kazi yao. Tuige mfano wao tufanyapo kazi zetu. Hata zikiwa za kawaida.

7 comments:

  1. ni kweli kabisa usemalo, maneno yamejaa ujumbe mzito na ukweli ndani yake, kazi kwa bidii na ufasaha zaidi

    ReplyDelete
  2. ni kweli kabisa usemalo, maneno yamejaa ujumbe mzito na ukweli ndani yake, kazi kwa bidii na ufasaha zaidi

    ReplyDelete
  3. Jumapili njema sana tu na kwako Mdada!

    ReplyDelete
  4. Ester! Ahsante..ni kweli ulichosema..
    Simon! Uwe na jumapili pia jioni njema pia. Usengili:-)

    ReplyDelete
  5. Asante dada kwa neno, Mungu awe nanyi daima.salimia watu yangu hapo nyumbani.

    ReplyDelete
  6. Asante da'Yasii kwa kutufungua fikra.Sisi mbele za Mungu ni sawa tu na kazi ya mfinyanzi na hatuna cha kujivunia.Maisha na mafanikio yetu ni baraka kutoka kwa muumba wa mbingu na nchi na mfinyanzi wetu mkuu.
    ------------------------------------
    Methali 3:1-7

    Mwanangu, usiisahau sheria yangu, na moyo wako upate kushika amri zangu,kwa sababu utaongezewa urefu wa siku na miaka ya uzima na amani.Fadhili zenye upendo na ukweli zisikuache. Zifunge shingoni pako. Ziandike kwenye kibao cha moyo wako,na hivyo upate kibali na ufahamu mzuri machoni pa Mungu na machoni pa mtu wa udongo. Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote wala usitegemee uelewaji wako mwenyewe.Mtambue yeye katika njia zako zote, naye atanyoosha mapito yako.

    7 Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe. Mwogope Yehova na ujiepushe na ubaya.

    ReplyDelete
  7. Rachel! naamini nawe pia ulikuwa na Dominika njema pia familia nzima.

    Kaka Ray! Ahsante nawe pia kwa neno na naamini umekuwa na Dominika nkema kabisa. WOTE PAMOJA DAIMA KAMA ILIVYO SISI SOTE WATOTO WA BABA MMOJA.

    ReplyDelete