Hapa ni mimi, nikiwa pamoja na wifi yangu na mwanae...ni mwaka jana. Hapa ni stendi KUU ya SONGEA tulikuwa tukiwasindikiza walikuwa wakirudi kwao Mbinga. Nimependezwa na maneno haya kwenye T-shirt ya Wifi. UBINADAMU KAZI.... ...KILA LA KHERI.
Habari za saa hizi Dada yangu.Kwanza nikushukuru kwani kupitia blg hii tunajifunza mengi kweli ubinadamu ni kazi na penye wengi pana mengi ,kwani unaweza kumfanyia binadamu mambo mazuri lakini baadae ukaambulia maudhi.Lakini hii inalenga wale wachache wenye tabia zisizofaa.

ReplyDeleteUbaya hauna kwao lakini wema hauozi.
ReplyDeleteKweli kabisa UBINADAMU KAZIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!
ReplyDeletekweli dada ubinadamu kazi
ReplyDelete