Sunday, April 22, 2012

NI JUMAPILI YA TATU TANGU PASAKA IPITE NAMI NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA KWA WIMBO HUU!!


Hakika ni furaha.....JUMAPILI NJEMA KWA WATAKAOPITA HAPO MWENYEZI MUNGU AWABARIKI  NA IMANI NA UPENDO VITAWALE NYUMBANI MWENU.

2 comments:

  1. Ahsante sana dadake,J'2 njema nanyi pia hapo nyumbani, woote .

    ReplyDelete
  2. Ahsante ndugu wangu. Jumapili yetu imekuwa tulivu na baridi ndo kasheshe:(

    ReplyDelete