Sunday, March 4, 2012

UJUMBE WA JUMAPILI HII YA LEO NI HUU

Unapotafakari mema ya Mungu ya leo:-
WASAMEHE WALIOKUKOSEA,
WAKUMBUKE WALIOKUSAHAU na UILINDE AMANI YA MOYO ISIPOTEE.
Kwani utakuwa na furaha daima!!!
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA MWENYEZI MUNGU AWE NANYI!!!

5 comments:

  1. Ujumbe mzuri kweli. Maulana na azidi kukutunikia baraka zake wala usinje kupukungiwa na lolote lile maishani mwako.

    ReplyDelete
  2. Ahsante!
    Jumapili njema na kwako pia!

    ReplyDelete
  3. Asante kwa Ujumbe mzuri,J'2 njema nanyi pia.

    ReplyDelete
  4. Nguti Joseph Kagechu! kwanza karibu sana katika kibaraza hiki cha Maisha na Mafanikio. Na AHSANTE kwa baraka zako.

    Kaka Chib! Ahsante ila j2 yote imeishia kubeba mabox:-)

    Rachel!Ahsante na nina imani nawe na familia j2 imekuwa tulivu yenye baraka.

    ReplyDelete