Saturday, March 3, 2012

KUPENDA KUNAWEZA KULETA MAWAZO MENGI!!!


MUWE NA JUMAMOSI NJEMA WOTE hata kama tutakuwa na mawazo sana tujitahidi kumtafuta rafiki ili kupoteza mawazo ili zisiwe pombe nyingi.

5 comments:

  1. Habari za siku dada.
    Samahani kw aukimya wangu, nimeweka sababu za kuadimika kwangu hapo VUKANI.

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa Ujumbe mzuri!J'mosi iwenjema nanyi pia.

    ReplyDelete
  3. Asante nawe pia J1 njema na familia yako!

    Usiwe na mawazo mengi....

    ReplyDelete
  4. Koero nimekusoma!
    Rachel...Ujumbe huu kwa kweli kama yamekukuta unaumiza kweli. Jumamosi yangu iliishia kubeba mabox
    Kaka Baraka! Ahsante!
    Na pia ahsante kwa ushauri ntapunguza mawazo ikiwezekana.

    ReplyDelete
  5. Jumapii ikawe kheri kwako mwenyezi mungu akujazie baraka tele ishi ukipendeza mungu🙏

    ReplyDelete