Monday, March 26, 2012

TANZANIA YETU NA UZURI WAKE...MBUGA ZA WANYAMA!!!


NAWATAKIENI WOTE JIONI NJEMA SANA AU SIJUI MCHANA MAANA MASAA YAMETOFAUTIANA KILA NCHI.... Je kweli hakuna tu haja ya kujivuna hapa??

6 comments:

  1. jioni njema dada yasinta

    ReplyDelete
  2. dada yasinta siku njema

    ReplyDelete
  3. dada yasinta siku njema

    ReplyDelete
  4. Nchi yetu ni nzuri sana sema ina viongozi wabaya, wa hovyo na waroho sana. Shame on them!
    Ingawa simba wetu wanavutia. Mafisi na mafisadi wetu sina hamu. Heri ya simba na fisi wa mwituni kuliko wao.

    ReplyDelete