Tuesday, March 27, 2012

RANGI NA UZURI WAKE!!!!!!!!!

Nimependa mchanganyiko huo wa rangi … kwa kutazama pia kuvaa … . ni ubunifu mzuri sana. Hivi hizi ni rangi za taifa fulani au ni kwamba imetokea tu mbunifu akabuni namna hiyo?
Pamoja Daima...

7 comments:

  1. Ni rangi za Rastafali Movement...

    Hakina amependeza sana mdada huyo..

    ReplyDelete
  2. mi nadhani ni rangi za Jamaica, sana, kwani weed pia inatawala sana huko

    ReplyDelete
  3. Rangi zinapendeza sana machoni na mbunifu wake anastahili pongezi.Ukikisifia chombo usimsahau nahodha.

    ReplyDelete
  4. Rangi zuri ila huo mmea uliochorwa nhhh! Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  5. NIMEIKUBALI ILE MBAYA HIYO RANGI.

    ReplyDelete
  6. Rangi hizo utaziona kwenye bendera nyingi! Ila ilo ua kwenye vazi- hakuna ubishi ni BANGI!

    ReplyDelete