Thursday, March 15, 2012

NIMELIPENDA GAUNI HILI MNO....

.......ebu angalia hizo rangi na jinsi lilivyorembwa, nimelipenda mno . Swali sijui nami nitapendaza kama lilivyompendeza huyu dada?:-)

7 comments:

  1. Hivi hili nalo ni gauni?
    Hivi kwanza GAUNI ni nini?


    Nawaza tu kwa sauti!

    ReplyDelete
  2. Simon Hili ni gauni ndiyo na gauni ni VAZI la mwanamke kwa kawaida!!

    ReplyDelete
  3. Kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa,je hili linafaa?

    ReplyDelete
  4. Naona hilo la Taifa Linafaa zaidi na nalitafuta kwelikweli...Ahsante kwa kunikumbusha..

    ReplyDelete
  5. msije mkapendekeza vazi la taifa liwe gauni jamani maana taifa zima tutakuwa ni... na kauli ya cameroo itatimia
    asubuhi tulivu .........kisa Gauni
    ni vazi nalo? itakuwa mada ya kesho

    ReplyDelete
  6. Utapendeza da;Yasinta,ni zuri lakini unaweza pendeza wewe na mimi nisipendeze@.

    ReplyDelete
  7. The аrticle featurеs νerified necessaгy
    to mуself. It’s very informativе and yοu гeally аre obvіously verу knowlеdgeable in this area.
    You get popped our eye foг уоu to varіоus views οn thіs
    particulаг topiс together with intriguіng
    and sοund wrіtten contеnt.

    Alѕo vіsіt my ωeb pagе - buy Viagra online

    ReplyDelete