Haswaaaa kaka Ray...kuwa mdogo ni raha sana maana huwi na majukumu mengi kila kitu unafanyiwa...Halafu hii picha inanikumbusha mbali sana ila mie nimecheza sana na kaka zangu. Ila hao sijui wanakwenda wapi angalia upensdo ulivyoenea kati yao mpaka raha:-) Na haya magauni yao ama kweli hao ni warembo wa wiki katika blog hii.
Kaka Sam! kuna siku nilikuambie utumie miwani lakini sasa naona acha tu yaani umeona hadi hirizi. Ndio watoto ni Malaika ndo maana nami nataka niwe mtoto tena..LOL
Kaka Baraka! umenivunja mbavu Ahsante...kuwa mtoto raha kweli ila sasa ndo tunakuwa watoto/wazee
Usiye na jina ! kwa sababu kuwa mtoto ni raha..na kuwa mkongwe ni majukumu mengi:-(
emu3! kweli maisha ni kama maji...ni furaha kuona upo.
Siku hazingandi lakini zinayeyuka.
ReplyDeleteHaswaaaa kaka Ray...kuwa mdogo ni raha sana maana huwi na majukumu mengi kila kitu unafanyiwa...Halafu hii picha inanikumbusha mbali sana ila mie nimecheza sana na kaka zangu. Ila hao sijui wanakwenda wapi angalia upensdo ulivyoenea kati yao mpaka raha:-) Na haya magauni yao ama kweli hao ni warembo wa wiki katika blog hii.
ReplyDeletemimi nimependa hasa HIRIZI shingoni ya huyo mtoto wa upande wa kushoto. watu husema watoto ni malaika,japo wanahirizi!!? kaka s.
ReplyDeleteMbona wewe tayari Mrembo Dada Yasinta....unataka uwe mrembo mara ngapi? Labda useme unatamani kuwa mtoto, hapo sawa.
ReplyDeleteLakini hilo haliwezekani, hata mimi natamani sana kuwa mtoto tena, maana utoto ni raha tupu, ukubwa shida tupu.....kazi kweli kweli!!!!
Kwa nini?
ReplyDeleteTatizo ni muda...
Muda si muda hawa nao watakuwa vikongwe kama wewe !!!!
Maisha ni kama maji ukiyamwaga hayazoleki, ni kweli kama ingeliwezekana maisha yakawa kama comupta, unaweza ukapreview, au .....oh, mungu mkubwa
ReplyDeleteKaka Sam! kuna siku nilikuambie utumie miwani lakini sasa naona acha tu yaani umeona hadi hirizi. Ndio watoto ni Malaika ndo maana nami nataka niwe mtoto tena..LOL
ReplyDeleteKaka Baraka! umenivunja mbavu Ahsante...kuwa mtoto raha kweli ila sasa ndo tunakuwa watoto/wazee
Usiye na jina ! kwa sababu kuwa mtoto ni raha..na kuwa mkongwe ni majukumu mengi:-(
emu3! kweli maisha ni kama maji...ni furaha kuona upo.
Watoto wadogo wanikumbusha uwepo wa Mungu sana katika maisha yetu. Hongera kwa post ya picha hii ya watoto wapole na wanyeyekevu
ReplyDelete