Ni mwimbo mzuri sana kwa kuimba,kusikiliza pia kucheza. Nimejaribu kurekodi lakini mmmhh....yamenishinda:-(
Haya tuimbe sasa Ni wimbo wa lizombe:-
KISWAHILI:
Wageni karibuni mama aah x2
Karibu nyumbani wageni wetu,
mjisikie nyumbani wageni wetu x2
KINGONI:
Kamwali bwela bwela mama aaahx2
Karibu pa nyumba mgeni wetu,
hapa pa nyumba yangu mama aaah x2
IJUMAA NJEMA NDUGU ZANGUNI!!!!
Wageni tumekuja,wageni tumefika,
ReplyDeleteSisi ndiyo wageni,mwenyeji ni wewe,
Ukarimu wako dhahabu,wageni sasa tunaondoka,wageni wako tunashukuru.