Ni ombi kutoka kwa dada Mija:-"Ombi..tuongezee ile juu kwenye page yako ya blogu, ulovaa tisheti ya njano, sketi nyeupe na mkanda wa kipepeo.."
mwaka 1992 Wilima (Matetere) Madaba
Picha hii nilipiga mwaka 2008 mwezi wa sitaNa hii nilipiga mwa jana 2011 mwezi wa kumi....
...............hii pia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili kijapani:-)
Hii ni ya mwaka huu 4/1 2012
zote...weka vigezo vya kila picha
ReplyDeleteHongera sana mimi nianze na picha ya kwanza uliopiga mwaka 2008 hii inaonyesha upo hasa kinyumbani na umeweka heshima hasa ya kiafrica naipenda hii iwe ni picha ya mwaka 2011 haina mpinzani labda ndugu yangu mfalme mrope mpe tano mdogo wako mtani wako bado mbichi huyu kwani anaweza kufika miaka 50 ijayo ya huru .mimi binafsi nasema hii imeonyesha ualisia wa kwetu
ReplyDeletemimi kaka yako nakupa tano
CHE JIAH
afadhali Chacha umesema, nakuunga mkono. ila mie sitaki aweke vigezo maana picha zote tamu
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMsema ukweli ni mpenzi wa mungu,zote ni nzuri ila hiyo ya kwanza mimi huwa naipenda sana,Unaokeana kama kasichana ka miaka 18 lol...
ReplyDeleteAsante sana Da'Yasinta kwa kuiongeza hiyo picha, mimi naipenda sana hiyo maana ulikuwa unajiremba ile mbaya... Jamani sipati picha walivyokuwa wakikukoma.. Wanao wanasemaje juu ya picha hiyo?
ReplyDeleteWajameni mnisamehe nimedelete comment kwa bahati mbaya, nilikuwa naondoa moja zikaondoka zote.
ReplyDeleteMashikolo Mageni.
hii ya chini ndo kunoga.kaka s.
ReplyDeleteHarakati za maisha na mafanikio ni safari ndefu na usione vyaelea vimeundwa.Libarikiwe titi ulilonyonya na mikono salama iliyokulea.
ReplyDeleteYa 1992
ReplyDeleteDADA VIPI,MBONA UMEEKAA KIMYA HUJATUJIBU AU HUJAPATA JIBU MPAKA LEO TUENDELEE KUTOA MAONI WENGI WAPE FANYA HESABU KILA MTU ANA MAONI YAKE UMEYULIA KAMA MAJI YA MTUNGI PICHA YA KWANZA YA KUNYUMBA UMEVAA HASA KITZ
ReplyDeleteCHE JIAH
Nachukua nafasi hii kuwashukuruni wote mliopita hapa na kuacha mchango wenu..huwa naheshimu kila neno liandikwalo nanyi AHSANTENI. Kusema kweli sina kigezo..mtanisamehe...na ni ruksa kuendelea kutoa maoni.
ReplyDeleteDuuhh wiki hii nimekuwa nyuma sana,yaani nimelala doloo,bithe mingiii,yaani mwanakwetu zote ziko bombi sana ila hii ya mwisho duuh Jicho dada kama wataka kulala vile yaani inaniuaaaaaaa!!!Mbarikiwe sana sana waungwana!!
ReplyDeleteZote!
ReplyDeleteMi Yasinta nimeipenda sana hyo ya 2008 japo zote ni nzuri ni mtazamo wangu tu.
ReplyDelete