Ahsante da'Yasinta kwa kutupeleka Njombe,wanaNjombe hilo jiko nimelikubali!
MIMI NAPENDA SANA UFUNDI NA MAARIFA....HIVYO NAWAPA HONGERA SANA KWA UBUNIFU HUU.
Ubinifu ni mzuri sana, na ndio maendeleo, au vipi, shule sio lazima kukaa kwenye madawati
Hii ndiyo maana ya rasilimali watu na maendeleo yao."TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".Karibuni Njombe Tanzania.
siyo siri nimeipenda sana system hii.Ile ya mexco pia ni kiboko itabidi niwafikirie wazazi wangu kijijini.Asante sana.
Safi sana. Wanashughulikia suala la ajira, halafu wanatumia malighafi inayopatikana katika mazingira yao, na mradi wao hauharibu mazingira, na ni endelevu, Yaani safi sana. Nitawaweka kwenye blogu yangu pia, kuwapiga jeki kimatangazo.
off whitecheap golden goosebirkin baggolden goose outletfear of god clothingoff white hoodiesupreme new yorkgoyard bagoff white hoodie outlethermes sale online
Ahsante da'Yasinta kwa kutupeleka Njombe,wanaNjombe hilo jiko nimelikubali!
ReplyDeleteMIMI NAPENDA SANA UFUNDI NA MAARIFA....HIVYO NAWAPA HONGERA SANA KWA UBUNIFU HUU.
ReplyDeleteUbinifu ni mzuri sana, na ndio maendeleo, au vipi, shule sio lazima kukaa kwenye madawati
ReplyDeleteHii ndiyo maana ya rasilimali watu na maendeleo yao.
ReplyDelete"TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".
Karibuni Njombe Tanzania.
siyo siri nimeipenda sana system hii.Ile ya mexco pia ni kiboko itabidi niwafikirie wazazi wangu kijijini.
ReplyDeleteAsante sana.
Safi sana. Wanashughulikia suala la ajira, halafu wanatumia malighafi inayopatikana katika mazingira yao, na mradi wao hauharibu mazingira, na ni endelevu, Yaani safi sana. Nitawaweka kwenye blogu yangu pia, kuwapiga jeki kimatangazo.
ReplyDeleteoff white
ReplyDeletecheap golden goose
birkin bag
golden goose outlet
fear of god clothing
off white hoodie
supreme new york
goyard bag
off white hoodie outlet
hermes sale online