NAPENDA KUWATAKIENI WOTE NOELI NJEMA KWA WIMBO HUU...
Kristmas njema sana ndugu zanguni ...Mwenzeni nimepata ile hisia kuwa nipo kanisani Makwai/lundo au sijui Ruhuwiko na naimba nyimbo hizi....yaani basi tu ..JUMAPILI NA KRISTMAS NJEMA KWA WOTE.
Krismasi njema kwako pia Da Yasinta. Hebu Mungu na Aendelee kukubariki wewe pamoja na familia yako na wapendwa wako wote. Na mwaka mpya ujao ukawe bora zaidi na wenye kuweka rekodi kwa kila jambo jema!
ASANTE SANA DADA YASINTA....PIA KWAKO NA FAMILIA YAKO YOTE DADA YASINTA...HERI NYINGI SANA KATIKA SIKUKUU HII NZIRI YA KUZALIWA BWANA WETU YESU KRISTU.
Da Yacinta, Hata kama nimechelewa angalau nimefika kukutakieni heri ya Krismas na mwaka mpya wenye kila manono. Nimefurahi kukutana na wapendwa wangu Masangu Matondo, Malkiory Matiya wote ni MM utadhani wameambiana! Ningekuwa nakumbuka kingoni basi ningekutakia kila la heri kwa lugha hii adhimu. Kwa ufupi bila kuchonga sana, nakutakia kila la heri wewe na familia yako hapo Uropa na Ungonini.
Naamini wote mmeshereheke vizuri Christmas..Binafsi hakuwa nzuri sana nilikuwa na homa ila nashukuru Mungu naendelea vizuri. Ahsantena sana wote kwa kutochoka kupita hgapa na kuacha kitu. Mwenyezi Mungu na awabariki. Kwani bila uwepo wenu na ushirikiano wenu nisingekuwa hapa nilipo/kublog. PAMOJA DAIMA.
Krismasi njema kwako pia Da Yasinta. Hebu Mungu na Aendelee kukubariki wewe pamoja na familia yako na wapendwa wako wote. Na mwaka mpya ujao ukawe bora zaidi na wenye kuweka rekodi kwa kila jambo jema!
ReplyDeleteHeri na kwako pia Yasinta.
ReplyDeleteKaka Matondo! Ahsante sana. Pia Mungu aandelee kukubariki wewe na familia pia. Na nawatakieni kila jema na mwaka 2012 uwe wa amani na mafanikio.
ReplyDeleteKaka Malkiory! Nashukuru kwa salamu ni jambo zuri kutakiana kheri kwa kipindi hiki.Uwe na amani na kheri sana kwa Kristmas pia mwaka mpya.
ASANTE SANA DADA YASINTA....PIA KWAKO NA FAMILIA YAKO YOTE DADA YASINTA...HERI NYINGI SANA KATIKA SIKUKUU HII NZIRI YA KUZALIWA BWANA WETU YESU KRISTU.
ReplyDeleteDa Yacinta,
ReplyDeleteHata kama nimechelewa angalau nimefika kukutakieni heri ya Krismas na mwaka mpya wenye kila manono. Nimefurahi kukutana na wapendwa wangu Masangu Matondo, Malkiory Matiya wote ni MM utadhani wameambiana! Ningekuwa nakumbuka kingoni basi ningekutakia kila la heri kwa lugha hii adhimu. Kwa ufupi bila kuchonga sana, nakutakia kila la heri wewe na familia yako hapo Uropa na Ungonini.
Ahsante Mungu awe nawe sku zote pamoja na familia yako hadi mwaka uishe salama.
ReplyDeleteBaraka kwako dada.
ReplyDeleteNaamini wote mmeshereheke vizuri Christmas..Binafsi hakuwa nzuri sana nilikuwa na homa ila nashukuru Mungu naendelea vizuri. Ahsantena sana wote kwa kutochoka kupita hgapa na kuacha kitu. Mwenyezi Mungu na awabariki. Kwani bila uwepo wenu na ushirikiano wenu nisingekuwa hapa nilipo/kublog. PAMOJA DAIMA.
ReplyDelete