Wednesday, December 7, 2011

KWELI MAMA NI NGUZO YA FAMILIA/JAMII INATAKIWA KUBADILIKA ILIKUWASAIDIA AKINA MAMA!!


Duh! kaazi kwelikweli najiuliza mpaka sasa kesho kutwa ni miaka 50 ya UHURU lakini...MWANAMKE KWELI NI MWANAMKE..
Picha inamuonesha mama mmoja kutoka katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma akikabiliwa na majukumu mazito kama anavyoonekana katika picha hii.Ingawa mama huyu anakabiliwa na changamoto mbalimbali bado anaonekana mwenye furaha.

2 comments:

  1. Yaani basi tu ebu angalia mtoto mgongoni, kuni kichwani na mzigo mwingine juu yake...hapo akifika nyumbani unga hakuna, maji hakuna na inabidi atwange, na kuteka maji ..

    ReplyDelete