Friday, November 11, 2011

NAPENDA KUWATAKIENI MWISHO WA JUMA HILI NA WIMBO HUU USEMAO MAISHA NI FORENI NA BONY MWAITEGE!!


IJUMAA NJEMA KWA WOTE na Tuwa na imani katika maisha tusikate tamaan na matokeo yake siku moja yatatokea. Pia nachukua nafasi hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha /tufikisha tarehe hii ya leo ambayo namba zake ni:- 11/11/11 AHSANTE MUNGU KWA KUWA MWEMA KWETU.

2 comments:

  1. Iwe njema kwako na familia dada Yasinta, Asante kwa kibao muruwaaaa.

    ReplyDelete
  2. Hata hivyo, saa inakuja, nayo ipo sasa, wakati ambapo waabudu wa kweli watamwabudu Baba kwa roho na kweli, kwa maana, kwa kweli, Baba anawatafuta watu wa namna hiyo wamwabudu. Mungu ni Roho, na wale wanaomwabudu lazima wamwabudu kwa roho na kweli.”Huyo mwanamke akamwambia: “Ninajua kwamba Masihi anakuja, anayeitwa Kristo. Atakapofika, atatujulisha mambo yote waziwazi.” Yesu akamwambia: “Mimi ninayesema nawe ndiye.”
    Yohana 4:23-26

    ReplyDelete