Saturday, November 19, 2011

JUMAMOSI NJEMA JAMANI!!!

Ila isiwe sanaaaa...Picha hii kutoka kwa Da´Edna tumalizie na kipande hiki cha MBAYUWAYU (NGO, NGO, NGO ") - MALRLAW NYIMBO YAKE MPYA....

NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA NA EPUKENI KUNYWA SANA KWANI SI SALAMA KWA AFYA PIA USINYWE KAMA UMEPANGA KUENDESHA!!! MWENYEZI MUNGU AKIPENDA TUTAONANA KESHO....KAPULYA

7 comments:

  1. Hapa nakutana na maswali mengi lakini majibu yake ni maswali mengine.
    -------------------------------------
    "KWANI CHAI WATU WANATAMANI KIKOMBE KIMOJA AU VIWILI LAKINI BILA HAZINA IDADI?
    -----------------------------------
    Wikiendi njema na maisha na mafanikio bila mikikimikiki.

    ReplyDelete
  2. "KWANINI CHAI WATU WANATAMANI KIKOMBE KIMOJA AU VIWILI LAKINI BILA HAZINA IDADI"?

    ReplyDelete
  3. Katika kumbukumbu za enzi za woga hiyo ya kwanza kushoto ishawahi kunisaidia mpaka kutongoza KIUJASIRI wa enzi nachanganya UJASIRI BANDIA na UJASIRI ni kitu kilekile!:-(

    Endeleza tamutamu za wikiendi YASINTA mtu wangu.

    ReplyDelete
  4. Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote kwa kuwa nami katika jumamosi hii ingawa binafsi ilikuwa ya mikikimikiki.

    ReplyDelete