Wednesday, October 12, 2011

VILEVI VYA AKILI!!!

Ni JUMATANO nyingine tena na ni kile KIPENGELE CHETU cha marudio..Leo Kapulya katika pitapita na kupekua amekutana na hii mada nadhani wengi wetu hatujawahi kuisoma nimeipata hapa
Kilevi kikubwa kisicho cha kawaida ni dini. Pombe kwa Wabongo, na karibu kila kabila lina vyake. Bangi Wahindi. Wajamaika nk....Pombe kali, Warusi, Wafini nk.........Bia, Wajerumani. Wana viwanda zaidi ya 1200 vya kutengenezea kifyonzo hiki.nk..........Sigara, Wahindi wekundu, dunia, nk.........Ngono, Dunia.nk......Elimu, dunia. nk.........Je umelewa? Kilevi chako ni nini? Je ni ngono?
TUKUTANE TENA JUMATANO IJAYO....!!!!!

6 comments:

  1. Unaweza kuta Kitururu hicho si kilevi chake ingawa yeye na Glasi ni kama....Kikongwe na Mvi...LOL!!!!!!!

    Jamani sikipati vizuri kilevi changu, kwa anayenifahamu vizuri naomba unitajie please...

    Yasinta asante kwa mada dada..

    ReplyDelete
  2. Kwikwikwikwi kwanini kaka Kitururu?
    wewe da'Mija ni chai tena ya TANGAWIZI.

    ReplyDelete
  3. @Da Rachel: Togwa hiyo mbona huamini?:-)

    ReplyDelete
  4. Mija una uhakika?

    Simon na Raynjau mbona mmeguna?

    Rachel! hapo umempatia Mija hata mie nilitaka kumwambia hivyo yeye na chai kama mie:-)

    Simon mbona hiyo togwa ina rangi tofauti na togwa za kawaida?

    ReplyDelete