Monday, October 24, 2011

Siku ya Umoja wa Mataifa/FN DAGEN

Muda si mrefu kijana wetu Erik amerudi kutoka shule. Baada ya kumuuliza za shule akanijibu safi sana. Na baadaye akawa anisimulia kuwa kwa kuwa leo ni SIKU YA UMOJA WA MATAIFA/FN DAGEN. Basi huko shuleni katika darasa lake,walikuwa huru kuchagua cha kufanya. Na baadaye wakawa wanaimba na moja ya wimbo ulikuwa huu hapa.

JUMATATU NJEMA JAMANI!!!

1 comment:

  1. Ugumu wa mioyo ya binadamu unaifanya dunia pasiwe mahali salama pa kuishi.Hii ni changamoto kwetu sote kuona ni kwa namna gani mimi na wewe tunaendelea kuifanya dunia pasiwe mahali salama pa kuishi.

    ReplyDelete