Sunday, October 9, 2011

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA UJUMBE HUU KUTOKA KWA KAPULYA!!!

Kwa vile mikono yangu haiwezi kukufikia huko uliko. Hebu basi sala zangu zikukumbatie kwa upendo wa MWENYEZI MUNGU .Ukiongozana na baraka, afya njema na sio leo tu bali siku zote!
Basi ngoja tuimalizie jumapili hii kwa wimbo huu wa mpanzi!!!


Au labda twaweza pia kusikiliza redio maria basi bonyeza hapa....http://tunein.com/radio/Radio-Maria-Tanzania-891-s6424/
KRISTU.....TUMAINI LETU!!UWE NA JUMAPILI NJEMA!!!


4 comments:

  1. Hapa nahisi katika posti hii waaminio BUDDHA wametengwa na sio wale waaminio MOHAMEDI!:-(

    Jumapili njema kwako pia Kapulya!

    ReplyDelete
  2. Dini ni imani. nimefarijika sana nayimbo hii,ila niliendele mbele zaidi nikagundu nyimbo mbili zaidi zilizo wahi kuvuma dar kipindi fulani.mzabibu na sauti.we acha tu sijaenda kanisani leo lakini baada ya nyimbo hizo nimejisikia poa. mungu akusimamie mpendwa Yasinta kwa ujumbe huu ulio tupa jumapili hii. jumapili njema nawewe Yasinta ngonyani.kaka s.

    ReplyDelete
  3. Asante sana Dada Yasinta kwa maneno mazuri, nawe pia J2 njema sana na familia yako.

    ReplyDelete
  4. Imani ni imani na wala hajatengwa mutu...jumapili yangu inaishia kazini :-(

    kaka S.!Basi leo tupo wengi tusioenda kanisani..lakini kusali sio lazima kwenda kanisani unaweza kusali sehemu yoyote ile.
    Kaka Baraka! ahsante.

    ReplyDelete