Saturday, September 3, 2011

TUSISAHAU UTAMADUNI WETU. JE? UNAMTAMBUA HUYU ANAYEIMBA/CHEZA HAPA?




JUMAMOSI NJEMA. NA FURAHIA MAPIGO YA MZIKI HUU ....TUTAONANA BAADAYE KIDOGO:-

3 comments:

  1. Jumamosi njema kwako pia mtoto mzuri Yasinta!

    ReplyDelete
  2. Ahsante Simon Nawe nadhani jumamosi yako si mbaya....Ila bado husema huyo kaka anayeimba ni nani au kama unamtambua?

    ReplyDelete
  3. Mhh ...........jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.

    R.Njau
    [BabuT]

    ReplyDelete