(1 April 1940 -26 September 2011)
Nimepatwa na mshtuko wa aina ya pekee nilipopata habari ya kwamba mwanamke huyu wa shoka hayupo nasi tena ..ni mwanamke wa shoka, mwanaharakati ...pumzika kwa amani mama yetu..Mungu alitoa na Munga amechukua... habari zaidi soma hapa.
R.I.P!
ReplyDeleteKalale pema peponi,amina. kaka s
ReplyDeleteDah!
ReplyDeleteHvi kiswahili kizur ni ametuacha au ametutoka? ok god knows! Mungu atamchukua
ReplyDeleteAmetangulia,atakumbukwa kwa mchango wake alioutoa akiwa hai.
ReplyDeleteNi wakati wetu wa kujiuliza sisi tutakauacha huu mwili tutakumbukwa kwa lipi au majina yetu yatafutika mara tu baada ya watu kutoka makabulini?
Sina historia nae lkn anaonekana was good wooman, na imani tutaonana nae paradiso
ReplyDelete