SIGNING OF CONDOLENCE BOOK The Embassy of Tanzania in Sweden will open a book of condolences following the tragic ferryboat accident that occurred in Zanzibar on Saturday, 10th September, 2011. The book of condolences will be open for signature at the Embassy of Tanzania, Näsby Allé 6 183 55, Täby on Friday, 16th September, 2011 from 2:00pm to 6:00pm and Saturday, 17th September, 2011 from 11:00am to 16:00pm. --------------------------------------------------------------------------------------------- KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO Ubalozi wa Tanzania hapa Sweden utafungua kitabu cha maombolezo kufuatia ajali ya kuzama kwa meli iliyotokea Zanzibar siku ya Jumamosi tarehe 10 Septemba 2011.Kitabu cha maombolezo kitafunguliwa kwenye Ubalozi wa Tanzania, Nasby Allé 6 183 55, Täby siku ya Ijumaa tarehe 16 Septemba, 2011 kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni na Jumamosi kuanzia saa saa 5 asubuhi mpaka saa 10 Jioni. | |
Thursday, September 15, 2011
KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZINI SWEDEN!!!
THE EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Ok dada nimekusoma,sasa hicho kitabu ni yeyote yule? na je waweza sain bila kitu cha kufariji wafiwa? Ok anyway Goodnews!!
ReplyDeleteUbalozi huu hata sijui uko pande zipi za Dar na hivi mie mshamba Dar! ni Balaa tupu.