Saturday, August 13, 2011

NILIPOKUWA SONGEA NILIKUTANA NA CHRISTIAN SIKAPUNDWA NA JUMA NYUMAYO!!


Tulipokuwa Songea tulipata bahati ya kutembelea Mtaa wa Matarawe ambapo kuna ofisi ya Tujifunze Kanda ya kusini kama uonavyo hapa juu kwenye kibao.
Hapa ni kijana wetu Erik akiwa amekwisha tia sahihi kwenye kitabu cha wageni aliye kuwa naye ni Kaka Juma Nyumayo.

Na hapa wa kwanza ni mwenyewe mama Maisha na Mafanikio aka "Kapulya"Yasinta Ngonyani na wa pili ni Juma Nyumayo ambaye unaweza kumsoma habari zake hapa na wa tatu ni Christian Sikapundwa naye unaweza kumsoma habari zake hapa na pia ukitaka kuangalia picha nyingine ambazo zinahusiana na siku hii basi bonyeza hapa.


5 comments:

  1. Asante,Karibu tena Ruvuma karibu Songea.

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana...Yaani usisema hapa nilipo tayari nimekwisha anza kutamani tena kunyumba nga kunyumba.

    ReplyDelete
  3. Safi sana hii, Yasinta ninahakika umejifunza mengi likizo hii..

    God Bless.

    ReplyDelete
  4. Mija si uwongo mengi nimejifunza na nitajitahidi kugawa nanyi ndugu zangu.Ubarikiwa nawe pia!!

    ReplyDelete
  5. Da inapendeza.

    ReplyDelete