Ni muda sasa umepita tangu 24/6, mdogo wangu huyu sijamsikia wala kuona katika vibaraza vingine akitoa mchango wake.Si mwingine tena ni Koero Mkundi. Ninakumiss sana UPO WAPI? Je? kuna anayejua alipo. Koero, natumaini na naamini kwamba uko salama; na ukibahatika kusoma ujumbe huu tujulishe uliko koeromkundi.blogspot.com.
ha ha ha ha niliulizwa swali hili na mdau mmoja kule facebook. mdau yuko ughaibuni, akaniambia inakuwa dada yetu katoweka, nikabaki na kigugumizi. nashukuru leo mheshimiwa dada Yasita umeamua kuhoji na bila shaka mdau yule aloniuliza via facebook sasa anapata jawabu
ReplyDeleteJamani KOERO MKUNDI jitokeze basi hata kwa kupiga chafya tu.
ReplyDeleteNami nammisi mtoto huyu mzuri wa Mkundi!:-(
ReplyDeletejamani kimya chako chatutia wasi wasi!!!
ReplyDeletekuna mtu atakuwa kamficha..nina wasiwasi na .....
ReplyDeletenami namtafuta sana mchumbaangu jamani isije ikawa Markus kamtorosha
ReplyDeleteHa ha ha haaaaaaa.... Hatimayeeeee
ReplyDeleteChanda chema hivishwa pete dada...
ha ha ha haha ha ha hahaha ha ha USHINDI HUOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
ReplyDelete