Friday, August 19, 2011

IJUMAA NJEMA :- NCHI YETU TANZANIA!!!


Nawataeni wote mwisho wa juma mwema.....

5 comments:

  1. Nawe pia da'Yasinta,nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Rachel! yaani umenena haswaaa.

    Simon! Ahsante nawe pia uwe na Ijumaa njema!

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta,samakiwangu wa pale Lwaha mtoni umemaliza? haya kwakweli Tanzania ni nzuri sanaa basi tu, mfano ukisafiri kutoka Dar mpaka Songea kwa kwa gari ndogo, utaona jinsi inavyo pendeza,milimamito ,mbuga za wanyama watu,nk inahitaji sifazake za pekee. haya na wewe pia ijumaa njema. Kaka S

    ReplyDelete
  4. Kaka S: Na wewe huwezi kusubiri na kuona mpaka umelopoka..LOL wala sijamaliza..subiri tuuuuuuuuuu... Ni kweli ukitaka kujona TANZANIA ILIVYO NZURI tumia gari ndogo ambalo utakuwa unaamua mwenyewe wapi usimame na kushangaa shangaa:-)

    ReplyDelete