Saturday, June 4, 2011

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAMOSI PIA JUMAPILI NJEMA WOTE!! MUNGU WANGU WEWE WAJUA SABABU KWANINI NIYAPITIE HAYA....



Mungu ndiye muweza: Nawatakieni wote Jumamosi njema na pia jumapili njema na tuonane tena Mwanzo wa wiki:- UPENDO WA MWENYEZI MUNGU NA UWE NANYI WOTE.

5 comments:

  1. Nawe pia Mdada!

    Usengwili sana ki wikiendi na wala usibanwe chupi!

    ReplyDelete
  2. @Kadinali Chacha:

    Charangiza kijiweni kwako PIA Mkuu!

    Kwa kuwa siye washabiki wa kijiwe chako,...
    ....kule saa nyingine kuko kimiya kama sehemu za siri za sista wa kikatoliki:-(

    ReplyDelete
  3. dada yasinta hii video na huu wimbo umenigusa sana wanawake wengi wanateseka katika ndoa zao lakini wanavumilia sababu ya watoto tu wanaume wangine hawana huruma hata kidogo sijui ni ibilisi gani wanawaingiaga na kusahau upendo ktk familia yake yaani nina mengi yakuandika lakini huu wimbo umeniumiza sana

    ReplyDelete