Hapa nilitaka kupiga mpira kwa kichwa....
...na hapa najaribu kumtia chenga huyu adui yangu..
...na hapa najaribu kumtia chenga huyu adui yangu..
Leo ni siku /tarehe ambayo kijana huyu alianza maisha yake. Yaani alizaliwa ni miaka kumi na moja iliyopita tarehe 3/6/2000 alizaliwa kijana Erik. Na leo anatimiza miaka 11. Kama mumuonavyo Erik anapenda sana mpira wa miguu, floorball /innebandy. Pia mziki pia. HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA ERIK NA UWE NA SIKU NZURI. PIA KILA LA KHERI KATIKA MASOMO YAKO, NA KATIKA MAISHA YAKO.!!!!!!!
nilitaka kusema HONGERA LITTLE MAN ERIC KWA KUCHANA KALENDA YA 11 kwa ki-SWIDI lakini nimeshindwa. Uendelee kukua katika maadili mema hususan katika shule, football na music.
ReplyDeleteila nina wasiwasi na kutaka kuupiga mpira kichwa katika picha ya juu. ha! ha! ha!
hongera, kaka :)
ReplyDeleteHongera Erik!
ReplyDeleteHappy birthday bwana mdogo Erick na kila kheri ktk safari yako ya mafanikio hasa kwenye hizo fani uzipendazo.....
ReplyDeleteHongera Erik!
ReplyDeleteHongera sana Eric.
ReplyDeleteHongera Erik,
ReplyDeleteKatika siku ile ya kujipongeza kuchana kalenda kuna umuhimu ya kwuashukuru wakufanyao uchane kalenda.
ReplyDeleteMimi sikupongezi tu kwa KUCHANA KALENDA lakini kuna kitu umenikuna sana, nila nikikuangalia nakufanananisha na yule mtoto wa Zidane aitwaye Enzo. lakini kwa hakika unaonesha soka ni tamu kwako kama huyu mwandika maoni haya anavyohususudu kandanda, mweeeeeeeee
Kumbe Erik ni Maestro wa soka. Nashukuru kupata wazazi wanaotambua vipaji vyako tangu ile staili ya kuogelea hadi Fiddle au vipi mjomba mkubwa wangu.
Nakuzimia na kufyagilia fyagilia fyagilia fyagiliaaaa pyaaaaaaaaa
Hongera sana!
ReplyDeletesijacheelewa kumpa salamu mjomba
ReplyDelete"GRATTIS ERICK"
namuona zlatan wetu wa baadae
Maisha mazuri ya jioni, na salamu kutoka Ubelgiji na Guido
ReplyDeleteNatuurmanjak.Je unaweza kutafsiri hali yangu ya blog kwa Kiswahili, haina
juu kushoto ya tafsiri yako! nice salamu Guido natuurmanjak ... ...
http://natuurmanjak.skynetblogs.be
Mkono wa kheri kwako
ReplyDeleteHongera sana Eric na kutakia kila la kheri uwe mtoto mtifu mwenye kupenda wazazi wako na kufata maadili ya kinyumbani. Kitu kikubwa na cha msingi Muombe sana M/Mungu wako na mambo yote yatanyoka. unapokwenda, unapoanza kucheza soccer kulla na kulala, usisaha kusukuru kwani shukurani ni moja ya ustarabu na chanzo cha upendo kwa jamii. HAPPY BIRTHDAY HOME BOY.
ReplyDeleteGrattis på födelsedagen, Erik! (Detta är från Uncle Manyanya i Pretoria, Sydafrika)
ReplyDeleteHongera sana Erik!
ReplyDeleteHongera sana Erick kwa kufikisha 11, Mungu azidi kuwa nawe mwanetu.
ReplyDeleteHongera sana Erik kila la heri shuleni, furaha na afya tele
ReplyDeleteHongera ya kuongeza mwaka kaka Erik!Mungu akubariki sana uwe mwema kwa wazazi na jamii pia!.
ReplyDeleteHappy birthday Erick
ReplyDeleteHappy Birthday Erik, kila la heri baby boy
ReplyDeleteobat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing obat telat bulan
ReplyDelete