Anaandaa ili apande maua mengine...
Haya aliapenda mwaka jana na ameshapalilia ....
Hapa pia na sasa yameanza kuchanua chanua.....
Haya aliapenda mwaka jana na ameshapalilia ....
Hapa pia na sasa yameanza kuchanua chanua.....
Dada huyo hatosheki na maua tu.....
Hapa ni Rabarber au RHUBARB...unaweza kutengezeza kinywaji , pia kutengeneza pei "paj" ila sasa kinachoniuma ni kwamba haya majani ni mazuri mno kwa kutumia/kula ma mchicha vile:-(
ni wakati wa kutafakari na kutafakuri yaliyopita na yaliyopo tayari kwa winter ijayo.
ReplyDeleteAhhh hiyo safi sana Dada yasinta unajua jinsi ya ku spend time, pia ni fundisho kwa wanawake wengine kuwa kama wewe, kutunza mazingira yao wengi wao hata huku kwetu unakuta hata kuweka sawa ni shida kisa nyumba si yake na hata kama ni yake nyumba utakuta mazingira si salama.
ReplyDeleteBig up sana dada.
Ben
S/korea
Waooh hongera mdada.
ReplyDeleteImekaa vizuri sana hii Da'Yasinta
ReplyDeleteOk
ReplyDeleteKila la kheri,maua ni sehemu mojawapo yakutufanye tutulie na kutafakari na kujipanga upya
Shughuli njema
Mta.Simon Si utani ni kweli kabisa...
ReplyDeleteKaka John..Hakika umenena haswaaaa!
Ben wa S/Korea!
Ahsante kwa kutembelea hapa Maisha na mafanikio na karibu tena na tena. Pia ahsante kwa wasifu wako.
Edna! Ahsante sana na unakaribishwa kuja kunisaidia..LOL
Kaka Mathew! Ahsante sana kwa hilo...
Kaka Salehe! ni kweli kabisa na tena ikibidi unaweza kuongea na maua yako mie huwa nafanya...
Sawa Bwana
ReplyDeleteNdio tofauti ya huko na huku
ReplyDeleteKaka Mcharia! Haswa!
ReplyDeleteKaka Chib! ni tofauti kubwa sana kwani hapa huu ndio wakati ambao sio kufurahia maua tu pia hata kuwaona majirani wanatoka nje....ajisikiaye vidole vinawasha anakaribishwa sana kuja kuchezea udongo:-)
Yasinta nipo mbioni kuja kukutembelea...usiulize lini.
ReplyDeleteMija KARIBU SANA...na wala sitauliza na siulizi lini kwani napenda sana ugeni wa kushtukia...:-)
ReplyDelete