wewe Yasinta,huo ni uchokozi mbona nafasi kubwa tu ukumbuke hawa jamaa husafiri wakiwa wamelala chali.sasa hiyo picha umeigeuza kwa kuisimamisha,ebu irudishe kamainavyo takiwa hawa watu watonekana...........na ndohapo mchezo unaanza.kaka s
Haya da Yasinta kwa kuruka kimanga! ishakuwa likofia tena mwe makubwa!umenikumbusha kitu ,sikumoja nilikuwanaangalia TV tamthilia moja ya kizungu mama mkwe wangu naye alikuwepo sebuleni,mara ikatokea wale waigizaji kuanza kufanya vitu vyao rimoti ikombali,unaambiwa tulikuwa kamavile tume mwagiwa maji.na kitendo kile kilienda kitambo kidogo loh!. mpaka leo sijuwai kwanini najisikia vibaya kwa tukio lile.kaka s.
@Yasinta: Ushasikia duniani kuna mapenzi hata ya mbali kwa simu na hata sauti tu ya busu hutosha -kwa hiyo kwa kuonana kwenye kioocha kofia labda mambo mswano tu!
LAKINI, vyovyote iwavyo , huu ni utukufu wa muumba, ...`kazi na dawa',-TUNAWAZA, HATA KAMA PICHA HAIKUWA NA MAANA HIYO. hebu jiulize wangekuwepo madume watupu, kweli kungepatikana `utulivu na rehema'...labda mwenyezi angejalia kinamna nyingine...
LAKINI, vyovyote iwavyo , huu ni utukufu wa muumba, ...`kazi na dawa',-TUNAWAZA, HATA KAMA PICHA HAIKUWA NA MAANA HIYO. hebu jiulize wangekuwepo madume watupu, kweli kungepatikana `utulivu na rehema'...labda mwenyezi angejalia kinamna nyingine...
wewe Yasinta,huo ni uchokozi mbona nafasi kubwa tu ukumbuke hawa jamaa husafiri wakiwa wamelala chali.sasa hiyo picha umeigeuza kwa kuisimamisha,ebu irudishe kamainavyo takiwa hawa watu watonekana...........na ndohapo mchezo unaanza.kaka s
ReplyDeleteKaka S, Kaka S! hapo niilikuwa na maana hilo likofia je itakuwaje hapo?...
ReplyDeleteKwa kufikirika tu..yatosha. Kama nimeelewa!
ReplyDeleteHaya da Yasinta kwa kuruka kimanga! ishakuwa likofia tena mwe makubwa!umenikumbusha kitu ,sikumoja nilikuwanaangalia TV tamthilia moja ya kizungu mama mkwe wangu naye alikuwepo sebuleni,mara ikatokea wale waigizaji kuanza kufanya vitu vyao rimoti ikombali,unaambiwa tulikuwa kamavile tume mwagiwa maji.na kitendo kile kilienda kitambo kidogo loh!. mpaka leo sijuwai kwanini najisikia vibaya kwa tukio lile.kaka s.
ReplyDeleteDUh! Kumbe dawa ya ukimwi imepatikana aisee kama mambo yenyewe ndio hayo!:-)
ReplyDelete@Yasinta: Ushasikia duniani kuna mapenzi hata ya mbali kwa simu na hata sauti tu ya busu hutosha -kwa hiyo kwa kuonana kwenye kioocha kofia labda mambo mswano tu!
ReplyDeleteLAKINI, vyovyote iwavyo , huu ni utukufu wa muumba, ...`kazi na dawa',-TUNAWAZA, HATA KAMA PICHA HAIKUWA NA MAANA HIYO. hebu jiulize wangekuwepo madume watupu, kweli kungepatikana `utulivu na rehema'...labda mwenyezi angejalia kinamna nyingine...

ReplyDeleteMhhh dada Nangonyani sasa huu ni uchokozi uliotukuka....but anyway hili nalo neno...
ReplyDelete