Mimi naamini mziki ni moja ya burudani ya sisi binadamu kwa hiyo napenda kuwatakieni mapumziko mema ya mwisho wa juma. Najua wengine tutakuwa tunafanya kazi lakini kutapatikana tu kamuda kiduchu kupumzika basi ndo hapo pa kujiburudisha na mziki. najua pia sisi binadamu huwa tunapumzika/starehe/burudika tafauti lakini sidhani kuna mtu asiyependa mziki kama wengi wanavyosema WAAFRIKA ni watu wenye miziki ndani ya miili yao tangu tuzaliwe....IJUMAA NJEMA NA TUTAONANA WAKATI MWINGINE!!!
Kazi na dawa!
ReplyDeleteDADA,mapumziko yatoke wapi?ukipumzika utakula nini?
ReplyDeleteDADA,burudani itoke wapi?
Ukipumzika,mapambano nayo yanapumzika.