Kiluvya Pub-Kituo cha starehe kwa watu makini.
Nina marafiki zangu wengi wanaiongelea sana Kiluvya Pub. Nafikiria nikifika Bongo nitajitahidi nifike kujionea mwenyewe. Wanasema walitembelea na wakapenda huduma zao. Ninawashauri muende pia mkajionee wenyewe. Wanasema si Pub zote Bongo kuna huduma nzuri kama Kiluvya pub, kwa muziki na vinywaji.
Kwa waliopo Dar hata nje ya Dar mnakaribishwa ndani ya Kiluvya Pub-Kituo cha starehe kwa watu makini.
Kila kinywaji kinapatikana kwa bei nafuu pia kila aina ya chakula kwa order maalum vinapatikana.
Kwa maelezo zaidi tembelea http://www.kiluvyaspub.blogspot.com/
Kwa waliopo Dar hata nje ya Dar mnakaribishwa ndani ya Kiluvya Pub-Kituo cha starehe kwa watu makini.
Kila kinywaji kinapatikana kwa bei nafuu pia kila aina ya chakula kwa order maalum vinapatikana.
Kwa maelezo zaidi tembelea http://www.kiluvyaspub.blogspot.com/
Mimi kitu roho inapenda ni makande, yanapatikana hapo kweli?
ReplyDeleteSasa mbona pub yenyewe viti vimerundikana mlangoni. Ndio wanatufikishia ujumbe gani?
ReplyDeleteSi wangepiga picha nyingine kama kweli wanajitangaza vizuri. Hayo ni maoni yangu tuuu
Haahaahaa@ Upepo Mwanana umenifanya nicheke ila kuna point. Ukiona hivyo ilikuwa mpaka kuchee hiyo ni asubuhi watu wako hoi mziki mkali last night, hivyo viti vitawekwa mahali husika muda si mrefu kwa siku mpya. Nilipokuwa Dar hicho kilikuwa kiwanja changu cha kujidai, tembelea blog yao utaelewa, hapo supu zote zipo, mpaka ugali unapata LOL na kande ukitaka ndiyo order maalum@emu-three
ReplyDelete@zero 4real YOU TOOK THE WIND OUT OF MY SAILS na mara nyingi ukiangalia kitabu kwa nje tu ndiyo udhanie, umekula wa chui!
ReplyDeleteNingekuwa nazo R5000 mbona ningenunua tiketi yangu kesho RETURN TICKET FROM OLIVER TAMBO INTERNATIONAL AIRPORT TO DAR ES-SALAAM!
Mimi napendelea juisi ya ukwaju na ubuyu inapatikana hapo?
ReplyDeleteAsante kwa tangazo.
Kiwanja changu cha nyumbani,kama ninaamua kutoka hata niende wapi mwisho wa siku lazima nipitie hapo.
ReplyDelete