Thursday, February 10, 2011

UNAJUA HAPA NI WAPI?? AU NI JENGO KWA AJILI YA NINI /GANI?


Ni sehemu nzuri sana, ukifika hapa utatamani usiondoke......



9 comments:

  1. Mimi nahisi hi hoteli ya kimataifa au? ...shule? ...

    ReplyDelete
  2. Mimi pia sijui,labda tukupe mji ili utuambie mimi nakupa NTIPWILI!kama umepapenda tuambie!

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni guest house kwa sababu watu wakiingia guest huwa hawakumbuki makwao.

    ReplyDelete
  4. Hapa ni Mbamba Bay, na hii inayoonekana ni hoteli ambayo masista wa Chipole wamejenga pale. Ni kitega uchumi kwa upande wa utalii.

    ReplyDelete
  5. I wish ningefanikiwa angalau kulaza ubavu wangu humo!!

    ReplyDelete
  6. Ndugu zangu naona jibu mmepeta Profesa Mbela kalitoa hapo ni Mbamba Bay na ni St Benadeta hotel. Ahsanteni sana kwa yote!!!

    ReplyDelete
  7. hapa ni mbambabay mi nimelala pale mwezi novemba mwaka jana huduma yao ni nzuri sana umenifurahisha sana kwa kunikumbusha ziwani kule maana wakati naenda sikutegemea kukuta mahala pazuri kama pale

    ReplyDelete
  8. Nawaombeni namba yao ya simu nifanye reservation. Ninakusudia kwenda huko hivi karibuni. Panaonekana bomba sana.

    ReplyDelete