Monday, January 31, 2011

Naomba msaada jamani, nahisi masikio yangu yamejaa nta sijui maana nasikia sauti za hawa waimbaji ni kama mtu mmoja anaimba au wenzangu mnasemeje?



halafu sikiliza huyu




Jumatatu njema kwa wote!!!

4 comments:

  1. Ni yule yule Marlaw manamba wa chama cha mafisadi!

    ReplyDelete
  2. Nadhani ni mtu huyo huyo mmoja kaimba huo wimbo. Sasa ni nani ndie original? Je wajua?

    ReplyDelete
  3. mimi wananichanganya tuu na wachezaji pia nadhani ni walewale nafikiri!!!sauti zafanana lakini huyo jobiso wanamwita na huyo marlaw!!mimi sijapata uhakika je wewe wajua?

    ReplyDelete
  4. Hakurudi kwa kishindo,tunazidi kurudi nyuma,tulikuwa tunafurahia midundo ya nyimbo tu,tulipewa tisheti,kofia ,vibendera na vilemba bure, sasa hivi kila kukicha afadhali ya jana.
    Na mimi nimesikia ni mmoja.

    ReplyDelete