Sunday, January 9, 2011

LEO NI JUMAPILI YA PILI YA MWAKA 2011:- JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGU!!!


NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA PILI YA MWAKA HUU IWE NJEMA NA AMANI!!

2 comments:

  1. Jumapili nilikuwa OFF-LINE lakini baada ya kutazama SLIDESHOW ya huyo "Bikizee-Mwendaji" (kumradhi daima kwa Kiswahili dhaifu) naona kweli hatuna budi la kujigamba zaidi na daima juu ya Bara letu na uzuri wa sura yaMwafrika. Umejitahidi sana tena kwa mafanikio kututuliza moyo zetu kama inavyostahili kila Jumapili. Hongera kwako. Lakini kwangu nashukuru nimeigundua blogi yako, Dada Yasinta!

    ReplyDelete