Sunday, January 23, 2011

JUMAPILI NJEMA NA WIMBO HUU CHA KUTUMAINI SINA!!!!


Haya jamani ni JUMAPILI nyingine tena na ni ya 4 ya mwaka huu yaani tangu uanze. JUMAPILI NJEMA SANA WANDUGU!!!!

5 comments:

  1. Asante kwa kutuwekea wimbo mzuri,Ubarikiwe Dada.

    ReplyDelete
  2. Jumapili njema MDADA!

    Ila MDADA kwa kuhesabu tu siku hasa jumapili,...
    ...DUH! Maana lazima nikija hapa JUMAPILI nistukie ni DOMINIKA gani yani!:-)

    ReplyDelete
  3. Ujumbe murua. Ni mwamba imara na salama.

    ReplyDelete
  4. CHOREOGRAPHY ya huyu mwanamziki ni nzuri sana, we Yasinta. Mimi binafsi vile vitoto vinawoigiza ndio vimeniacha hoi kabisa.

    Na hisi kwa kweli hamna asieburudhika na hiyo VIDEO yako. Lakini, kwanini "UNOFFICIAL"? Utaweza kutupatia jibu hata huko baadaye?


    Asante, Yasinta, Mpendwa!

    ReplyDelete
  5. Thanks mum, huu wimbo huwa unanigusa sana, sina cha kutumaini zaidi ya yeye baba wa mbinguni.

    ReplyDelete