Monday, December 13, 2010

TANZANIA- DR. REMMY MTORO ONGALA HATUNAYE TENA!!

Remmy Ongala [1947-2010]
Mwenyezi Mungu na aipokee roho ya Dr. Remmy Ongala na ailaze mahali pema peponi. Amina.



12 comments:

  1. Wimbo wa kifo aloimba ni kweli na sasa kifo kimemchukua mola aweke roho yake mahala pema amin.

    ReplyDelete
  2. Sad, very sad......Mungu ameumba na Mungu amechukua, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina

    ReplyDelete
  3. Mungu ailaze riho yake mahala pema peponi.

    ReplyDelete
  4. Sisi tulimpenda, lakini bwana amempenda zaidi. Pumzika kwa amani Mzee Ongala... ni msiba mkubwa kwa waTanzania.

    ReplyDelete
  5. RIP dokta remmy.

    kati ya nyimbo zake huwa sichoki kuusikiliza 'Karola'

    kipande cha kwanza kinaenda hivi:

    "Ukiwa mtenda mabaya
    wewe mwenyewe haujijui
    Ukiwa mtenda mabaya
    kila siku unasema unaonewa
    Ukiwa mtenda mabaya
    huko unakokwenda ni pabaya
    Ukiwa na roho mbaya eeh
    kweli tutakuogopa
    Ukiwa na pesa nyingi
    usahau hata ndugu zako
    kweli walimwengu hawana wema
    Mola awape nini"

    katika wimbo huu tumba, saxaphone na solo guitar la yeye mwenyewe huwa vinanikuna. hasa tumba.

    Remmy Ongala katutangulia lakini nyuma kaacha kielelezo cha muziki wa dansi iliyo hai. Kifo chake kinathibitisha kutokomea muziki wa dansi na kushamiri huu wa "ubongo wa fleva"

    hakika ni pengo

    ReplyDelete
  6. Mungu ailaze roho yake pema peponi!

    ReplyDelete
  7. eti Mungu ailaze roho mahala pema peopni, unadhani kuna kusikokwema peponi??

    ReplyDelete
  8. Ninachomshukuru Mungu amekufa akiwa ameokoka.

    Kapumzike kwa amani.

    ReplyDelete
  9. @Da Mija: Je angekufa MUISLAMU unafikiri isingekuwa poa zaidi?

    ReplyDelete
  10. Kitururu hata waislamu wapo waliookoka, na usisahau ukristo sio kuokoka.

    Bado nalifikiria swali lako kiundani lakini..

    Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete