Friday, December 31, 2010

SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MAMA MAISHA NA MAFANIKIO NA FAMILIA YAKE

mwaka mpya 2010
Nasubiri mwaka 2011!!!
Marafiki wapendwa!
Ukaribisheni mwaka mpya uwe wa Mafanikio, Amani, Mwanga na Furaha katika maisha yetu.
Nakutakieni wote, wewe na familia yako kila jema na furaha tele katka mwaka mpya 2011.
KHERI KWA MWAKA MPYA 2011. KUMBUKENI WOTE MNAPENDWA!!!!
Nimena si mbaya kama tukiuvuka mwaka huu kwa kipande hiki cha mziki si mnajua mziki na kazi au mziki,sherehe aaahh ngoja tuserebuke!!

9 comments:

  1. Kila la kheri DADA YASINTA katika mwaka 2010!

    Na asante kwa yote uliyotuwekea hapa katika mwaka 2010!

    ReplyDelete
  2. Nawe pia Da Yas.. Ahsante kwa uwepo wako hapa kunako jukwaa huru. Hakika wewe ni mhimili imara na tunakuhitaji zaidi katika 2011. Salaam kwa shemeji na wajomba zangu na heri ya mwaka mpya...

    ReplyDelete
  3. heri ya mwaka mpya dada Yasinta

    ReplyDelete
  4. Heri kwakwo na familia yako kwa ujumla.

    ReplyDelete
  5. NAKUTAKIA KILA LILILOJEMA MWAKA HUU YASINTA. MUNGU AKUTANGULIE WEWE NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete
  6. Kila la heri. Mapya na mazuri zaidi kwa mwaka huu. Pamoja daima!!!

    ReplyDelete
  7. Heri ya mwaka mpya nawe pia Yasinta na familia kwa ujumla

    ReplyDelete
  8. Heri ya mwaka mpya kwako na familia yako kwa ujumla dada

    ReplyDelete